Monday, March 31, 2014

Hii ndio list ya warembo wanaoongoza kujiuza kwa wanaume matajiri.

MMoja wa warembo hao.
Unaambiwa warembo hao ni makahaba wa level za juu yaani ni vigogo na mapedeje wa ukweli tu ndo wanawachukua lasivyo hupati kitu. Wamekwa wakifanya biashara hiyo kwa mda mrefu sasa na baadhi yao wametajilika sana kutokana na biashara hiyo kwani unaambiwa wanahongwa hadi ma VX ili ku du once.






habari kamili :: read more...

Polisi jijini New York walazimika kusimamisha show ya Davido baada ya ukumbi kuzidiwa na mashabiki.

 Polisi wamelazika kusimamisha baada ya idadi ya watu kuwa wengi na bado nje ya ukumbu kulikuwa na wengi wakitaka kuingia ambao waliaanzisha vurugu baada ya kuzuiliwa kuingia.







Mtu kapoteza fahamu baada ya kuzidiwa na hali ya hewa.
habari kamili :: read more...

Wanaharakati wamuunga Kikwete kwa kuzindua Kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo).


Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale, akizindua rasmi kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kwa niaba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete, kama jitihada za kumuunga mkono Rais Kikwete katika kupambana na ujangili wa wanyamapori nchini. Kushoto ni Mratibu wa Taasisi ya Tembo Marathon Tanzania, Bw. Robert Zangi, Wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB), Geofrey Tengeneza, na Kulia ni Dr. Herry Muhando kutoka International Evangelist.

Mratibu wa Taasisi ya Tembo Marathon Tanzania, Bw. Robert Zangi, akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kupitia Taasisi yake kama jitihada za kumuunga mkono Rais Jakaya Kikwete katika kupambana na ujangili wa wanyamapori nchini. Wa pili kushoto ni Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB), Geofrey Tengeneza, Wa pili kulia ni Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr. George Nangale (kwa niaba ya Rais Kikwete) na Kulia ni Dr. Herry Muhando kutoka International Evangelist.



Meneja Biashara wa Qatar Airways Tanzania, Bw. Basel Haydar (kushoto) pamoja na Meneja Mauzo wa Qatar Airways Tanzania, Bw. Emmanuel Okware.

Meneja Uhusiano wa Bodi ya Utalii (TTB), Geofrey Tengeneza akisisitiza jambo ambapo ametoa rai kwa wadau mbalimbali pamoja na mataifa mengine kuunga mkono jitihadi hizi kuhakikisha ujangili unatokomezwa.
Taasisi ya Tembo Marathon Tanzania imezindua kampeni ya ‘Save The Elephant’ (Okoa Tembo) kama jitihada za kumuunga mkono Rais Jakaya Kikwete katika kupambana na ujangili wa wanyamapori nchini.

Mratibu wa taasisi hiyo, Robert Zangi, amesema wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo kwamba wameamua kumuunga mkono Rais Kikwete kutokana na kukithiri kwa matukio ya ujangili wa wanyamapori miaka ya hivi karibuni.

Aliongeza kwamba kampeni hiyo itawalenga zaidi watu ambao wanaishi jirani na mbuga za wanyama.

“Watu wanaoishi jirani na mbuga za wanyama ni rahisi kufahamu nani ni jangili na nani ni raia mwema miongoni mwao,” alisema.

Aliongeza kusema kwamba kampeni hiyo itawafikia watu wanaoishi jirani na mbuga za wanyama kwa lengo la kuwaelimisha umuhimu wa kupambana na jangili dhidi ya wanyamapori.

Kampeni hiyo ina mpango wa miaka mitano ambao kwa kuanzia kutakuwa na matukio matatu makubwa mwaka huu kati ya sasa hivi na mwezi Mei.

Tukio la kwanza, alisema, ni la uzinduzi wa kampeni hiyo na la pili ni kuwasilisha ujumbe wa kampeni kwenye Umoja wa Mataifa nchini Marekani tarehe 9 mwezi Aprili na la tatu litakuwa ni semina juu ya kupambana na mauaji ya Tembo, Vifaru na wanyamapori wengine.

Nae Mwenyekiti wa Chama Cha Msalaba Mwekundi (Red Cross), Dr George Nangale, amesema kwamba wanaunga mkono kampeni hiyo kwani mauaji ya wanyamapori ni majanga na kwamba watu wanaoishi jirani ya mbuga za wanyama wanaweza kusaidia sana kwenye mapambano dhidi ya ujangili.
habari kamili :: read more...

Eti hoo mimi sikukupona,yeye inamuhusu nn!! Haya ndio makazi mapya ya Babu wa Loliondo.

 
Hii ndio nyumba ya kisasa kabisa anayoishi kwa sasa.
  Muonekano wa jengo hilo kwa nyuma.


Hii ndio nyumba alimokuwa akiishi kabla hajaanza kazi ya huduma ya kikombe.
habari kamili :: read more...

Wazungu wazungu tu! wamlazimisha Lupita kuonyesha chup aliyovaa wakati wa tuzo za Oscar.

 Lupita’s sense of humor is refreshing and it is exciting to keep tabs on her because you never know what to expect. One moment she is super elegant, the next she is humble in an acceptance speech with an inspiring quote 
and then she gets mischievous.
From photobombing her new friends in Hollywood, and ‘wrestling’ for her Oscar with Jennifer Lawrence, Lupita took to social media to show the world the panties she wore on the night she won an Oscar.
Captioned: #tbt#sparkly#scratchy Everything That Glitters For The Gold #UnderTheOscarDress


habari kamili :: read more...

Maskini Mr.Nice achezeshea kichapo kikali baada ya kumsarandia demu wa jamaa club Sinza.

Ooh! Noo! Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ amebondwa kwa mara nyingine na kusababishiwa majeraha makubwa mwilini, Ijumaa Wikienda lina kisa cha kusikitisha.
Habari za uhakika zilieleza kwamba tukio hilo lilijiri maeneo ya Sinza Afrika-Sana, Dar katika Klabu ya Ambiance.

Mwanzilishi wa staili ya Takeu kwenye Bongo Fleva, Nice Lucas Mkenda ‘Mr Nice’.
Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini cha habari ambacho kilishuhudia tukio hilo, kilisema kuwa Nice alikuwa
maeneo hayo akifanya yake katika kipengele cha moja moto na moja baridi, ndipo akaanza kumshobokea demu wa jamaa aliyekuwa meza ya jirani.

Shuhuda huyo alidai kwamba baada ya Nice kukolea maji, alianza kumsarandia mwanamke huyo aliyekuwa na midume kadhaa wakifanya yao.

Hata hivyo, ilisemekana kwamba Nice alitaka kutumia ustaa wake kunyang’anya demu ndipo mwenye mwanamke wake akahisi kudhalilishwa.

Ilidaiwa kuwa kilichofuata ni kwamba yule jamaa akishirikiana na washkaji zake walimshushia Nice kipigo cha shetani hadi akapoteza fahamu kisha wakaingia mitini.

“Aisee jamaa walimpa kipigo cha hatari utadhani wanaua mwizi kisha wakatimua zao.

“Ndipo watu wakaanza kumpa msaada lakini alikuwa tayari ameumizwa vibaya.


“Kiukweli jamaa walidhamiria vibaya, sijui walitaka kumuua maana hadi watu wanashtuka tayari Nice alikuwa nyang’anyang’a kwa kipigo hicho cha kutisha.

“Kilichofuata ilikuwa ni kukimbizwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar kwa ajili ya matibabu,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilifika hospitalini hapo ili kutaka kujihakikishia kile kisemwacho ambapo wanahabari wetu waliambiwa kuwa mtu huyo yuko katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) hivyo haruhusiwi mtu kuingia.

“Ni kweli Nice yupo hapa hospitalini ameletwa akiwa hajitambui,

ameumizwa vibaya mno hivyo vuta subira kidogo aendelee kupewa matibabu, akipelekwa wodini utaenda kumuona,” alisikika nesi mmoja.

Pamoja na ugumu huo, wanahabari wetu hawakukata tamaa ambapo walijipenyeza ‘kimafia’ hadi hadi ndani ambapo walimkuta Nice amelazwa, hali yake ikiwa ni ya kusikitisha mno.

“Kaka wamenipiga sana, nimeumizwa bila hata sababu yoyote, sijui kosa langu ni nini, hapa nilipo nina maumivu makali kila sehemu ya kiungo cha mwili wangu, kila nikifikiria sijui nimewakosea nini wale jamaa,” alisema Nice kwa taabu. 

Hata hivyo, kabla ya kukimbizwa hospitali alipitishwa katika Kituo cha Kijitonyama maarufu kwa jina la Mabatini na kupewa RB yenye namba KJN/RB/2698/014- SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI.
Si mara ya kwanza kwa Nice kupigwa na kutolewa ngeu kwani miaka kadhaa iliyopita aliwahi kubondwa mara mbili hadi watu wakahisi amekata kamba (amekufa) kisha akapigwa picha za aibu. 
habari kamili :: read more...

Sunday, March 30, 2014

Liverpool wazidi kupaa kileleni. FT Liverpool 4-0 Tottenham.

Mashabiki wa Liverpool wanaomba kwa hali na mali katika game zilizobaki Man city afungwe game moja alafu wao watamaliza kazi kwani wana game nae.
hayo yamekuja baada ya mechi ya leo kushinda goli 4 bila dhidi ya Totttenham na kuwa kileleni mwa EPL kwa point 71 mbele ya Chelsea yenye 69 na Man city yenye 67.

Kinachowafanya waombe ni kwamba wamecheza game 32 na City wamecheza game 30 hivyo ni kama city wana point 6 mkononi.

Huu ndio msimamo ulivyo baada ya mechi ya leo.
Habari zaidi tembelea angazio soka
habari kamili :: read more...

Huyu ndie mke wa mtu anayehitaji msaada kwani mumewe ana shida faraghani.

Tulianza mahusiano kwa miezi kadhaa kabla ya kuoana na kuhamia kwetu peke yetu.

Tatizo lipo Chumbani tu mwenzangu anapenda sana kulambwa corn na nikimlamba kidogo tu anamwaga saa zengine mdomoni na akisha mwaga tu anaishiwa nguvu na kulala hapo hapo na kuanza kukoroma mpaka kesho na huamka kwenda kazini na kuniacha hivo hivo na maumivu ya tangu jana usiku.


Hali hiyo inanipa shida sana kwani anakuwa hajanipa haki yangu na hisia tayari zilishapanda nabaki naumia usiku wote na kuwa na mood mbaya kunapokucha, mara nyingi nabaki nimetumbua macho kama bundi usiku wote huku yeye ameridhika na amelala usingizi mnono napata maudhi sana natamani hata nimpige vibao akiwa usingizini.


Siku akijitahidi tuna have sex lakini anakuwa kama Kuku dakika tatu kashamaliza embu imagine hali nayokuwa nayo usiku huo na ujue hapo ndio kwisha Battery.

Basi nimejitahidi kumrekebisha hawezekani ndo kwanza namvuruga nakuanza kuniambia namzarau ingawa wakati tunaanza mahusiano alikuwa ananichukua tunaenda Hotel na alikuwa anajitahidi sana ingawa si katika kiwango nilichotaka, nilivumilia kwani nilihitaji kuolewa na nikajua ntamrekebisha tukikaa wote ata-Improve lakini ndio amerudi Nyuma kiasi kwamba swala la mapenzi kwangu limekuwa jinamizi linaloniwinda kila muda.

Ananisababishia hasira na stress zisizoisha nakuwa na mood mbaya mpaka kunifikisha hatua ya kukwaruzana na wafanyakazi wenzangu bila hata ya sababu au kwa kitu kidogo mara zingine nagombana na wateja na kuna siku nimesababisha msururu mrefu Bank kwani sikuwa na mood kabisa ya kufanya kazi na jana tu kidogo nitumbukize gari mtaroni kutoka na msongo wa mawazo kwa vile tu najiona siko sawa na najisikia hovyo nachukia kila kitu, asubuhi tu nimembonda mdada wa kazi kwa kitu ambacho yani najutia kitendo nilichofanya kwani hakukuwa na sababu.

Kabla ya kuwa na yeye nilikuwa na Mvulana wangu alikuwa Mwanaume wa Ukweli, round za kutosha, alikuwa anajua romance, nilikuwanaridhika mpaka nasema sitaki tena nimechoka.


Mvulana wangu alinizoesha kunyonya huku chini lakini tangu niwe na huyu Mme wangu hataki katu katu kusikia hicho kitu, nimemiss sana na nilishazoea hataki kabisa hata nikimshawishi vipi hataki lakini corn anataka kulambwa na ananiambia eti maungo yetu ni tofauti na ni sawa mi kumnyonya nshaanzisha na mgomo hapa kabisa na ameninunia.

Naona Ndoa Chungu jamani msaada wenu wa ushauri ni muhimu.

Naombeni Ushauri, Sitaki kusaliti viapo vyangu juu ya Ndoa yangu kwa Baba Padre nilivyo apa mbele ya waumini, na Mungu
habari kamili :: read more...

Tazama picha za Wema Sepetu akimuaga mumewe Diamond tayari kwa safari ya kwenda Nigeria kufanya video.


Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda nchini Nigeria (March 30) kwaajili ya kufanya video ya wimbo wake mpya aliofanya collabo na mastaa wa huko.

Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao .Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari yao ya Lagos.

Wema hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege
Hivi karibuni hit maker huyo wa ‘Number 1’ alisema mbali na kushoot video, kitu kingine anachoenda kukifanya Nigeria ni pamoja na kufanya collabo zaidi na wasanii wa huko kwa lengo la kuliteka soko la Afrika kwa ujumla.
habari kamili :: read more...

kweli Lady Gaga ameshindikana ona mavazi aliyovaa kwenye Berthidei yake.

 Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa  vituko kila kukicha, Lady gaga ametoa mpya baada ya kuvaa nguo iliyomuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake kiasi kwamba unaweza ukaona kila kitu alichovaa kwa ndani wakati  akisherehekea  siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 28  iliyofanyika katika ukumbi wa ‘Roseland Ballroom’ New York Marekani



”Asanteni sana kwa kujumuika na mimi kwenye bethidei yangu, nilipoamka asubuhi nilikuwa na furaha. Nilikuwa nahamu ya kuwepo hapa usiku huu. Nina marafiki wengi hapa..mashabiki wengi na nimekulia kwa miaka sita” alisema Gaga.
habari kamili :: read more...

Mtoto abakwa; Familia yaambiwa wakayamalize kindugu.


WAKATI asasi na taasisi mbali mbali zikiwemo TGNP, TAMWA na WRP zikipinga vitendo vya ukatili wa kijinsia, hali hiyo imeonekana kutopewa mwitikio na baadhi ya familia.

Kutopewa kwa kipaumbele na kushindwa kuwachukulia hatua wanaofanya vitendo  hivyo kumetokana na Familia moja jijini Mbeya kutaka kumaliza kifamilia suala la ubakaji lililotokea hivi karibuni.

Tukio hilo lilitokea Machi 13 mwaka huu majira ya saa 11 jioni katika Mtaa wa Mapambano Kata ya Iyela wakati mtoto wa kike alipotumwa dukani na Mama yake Mzazi na kukumbwa na tukio hilo.

Mtuhumiwa wa tukio hilo ambaye ni mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Iyela Jijini Mbeya Patrick Ndelwa(18) anatuhumiwa kumbaka Mwanafunzi wa darasa la nne mwenye umri wa miaka nane(jina limehifadhiwa) shule ya Msingi Mapambano Jijini Mbeya.

Hatua ya kufikia wazazi wa pande zote mbili kutaka kumalizana kifamilia imetokea baada ya Jeshi la Polisi kushindwa kufungua jalada la tukio hilo  tangu  Machi 14, mwaka huu lilipolipotiwa.


Aidha jalada la tukio hilo lilifunguliwa Machi 24 mwaka huu huku Polisi wakitaka yafanyike mazungumzo katika pande hizo mbili na kushindwa kuwachukulia hatua waliotenda makosa kama hayo.

Uchunguzi umebaini kufanyika kikao Machi 26,mwaka huu eneo la Mapambano Iyela kilichowakutanisha pande hizo mbili kwa nia ya kulimaliza nyumbani suala hilo huku upande wa mtuhumiwa ukidai kuwa aliyetenda kosa hilo ni yatima.

Aidha imebainika kuwepo kwa mkakati wa kumhamisha mwathirika wa tukio hilo kumpeleka Jijini Dar es Salaam kwa nia ya kupoteza ushahidi na Jalada kutopelekwa kwa Mwanasheria wa Serikali ili kukwamisha taratibu za kumfikisha mtuhumiwa Mahakamani ili kujibu tuhuma zinazomkabili.

Mama Mzazi wa mwathirika wa tukio hilo,Salome Msigwa alisema aligundua kubakwa kwa mwanae alipoanza kumuogesha Machi 13 mwaka huu majira ya saa kumi na mbili jioni na alipomuuliza alijibiwa kuwa aliyembaka ni Patrick Ndelwa ambapo alimtendea unyama huo katika kichochoro karibu ya nyumba yao.

Alisema baada ya kugundua tatizo la mtoto, alitoa taarifa kituo cha Polisi ambapo mtuhumiwa alikamatwa na mtoto kupelekwa kupimwa Hospitali ya Rufaa na kupewa Matibabu huku akitakiwa kufuatilia vipimo vingine Machi 28.


Baadhi ya wadau wamelalamikia kuongezeka kwa vitendo ya ukatili dhidi ya watoto na kwamba vimekuwa vikiongezeka Jijini Mbeya sehemu kubwa imekuwa ikichangiwa na Dawati la Kijinsia la Jeshi la Polisi kutokana na kugeuka Mahakama kuyamaliza matatizo kwa kupatanisha pande zinazotuhumiana.


Kwa upande wake Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi amekiri kupokea tatizo hilo kwamba jeshi lake linafanyia uchunguzi swala hilo likikamilika mtuhumiwa atafikishwa mahakamani.

CREDIT:Na Mbeya yetu
habari kamili :: read more...

DK. MARIA KAMM ashinda Tuzo ya MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14


Dk. Maria Kamm ametwaa tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 iliyotolewa na Global Publishers akiwashinda Dk. Migiro, Prof. Tibaijuka na Anne Kilango!

Dk. Maria Kamm akiwasii ndani ya Ukumbi wa African Dreams. Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo (kushoto) akimkalibisha Dk. Kamm.
habari kamili :: read more...

Saturday, March 29, 2014

Arsenal na Man city washindwa kutambiana, watoka sare ya 1-1.

Ligi bado mbishi huwezi sema mshind wa moja kwa moja atakuwa fulani bado Man city,Liverpool,Chelsea na Arsenal wanaweza shinda ingawa Man City ndie ana nafasi kubwa kwani ana vipolo viwili.

Vikosi:
Arsenal: Szczesny; Sagna, Mertesacker, Vermaelen, Gibbs; Arteta, Flamini; Rosicky, Cazorla, Podolski; Giroud.
Sub:Oxlade-Chamberlain, Fabianski, Sanogo, Jenkinson, Kallstrom, Bellerin, Gnabry.

Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Demichelis, Clichy; Toure, Fernandinho; Nasri, David Silva, Jesus Navas; Dzeko.
Sub: Lescott, Milner, Negredo, Kolarov, Javi Garcia, Pantilimon, Jovetic.


Msimamo wa Ligi.
Kupata matokeo mengine ya EPL mechi za leo na msimamo bofya hapa
habari kamili :: read more...

Mdada mkenya aliyewaambukiza UKIMWI vigogo kibao sasa kamnasa mzungu.

 

Mwanadada Vanessa Cheruto Chettle amabaye alithibitisha kuwa anaishi na HIV na ameshatembea na wanaume wengi bila kutumia kinga wakiwemo watu wenyemajina makubwa nchiniKenya...kama
Shaffie Weru na Nick Mutuma ambao ni watangaji maarufu nchini humo.

Kwamujibu wa chanzo cha habari hizi (chengwon.com) Vanessa na huyo babu wakizungu mwenye asili ya kiyaudi walikutana kwenye mtandao wakijamii  baada ya babu kupitia akaunti yake kuandika anataka kusaidia msichana mwenye HIV.
habari kamili :: read more...

Breaking news:: Ajali mbaya ya Toyota Pick Up kugongana na lori imetokea Same na kuua watu 12 .


Watu 12 waliokuwa wanasafi kuelekea kwenye msiba kwa kutumia gari aina ya Toyota Pick Up kwenda katika msiba wa jaama yao kumuhani msiba ulikuwa katika kijiji cha Kongei, Kata ya Hedaru, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro wamekufa papo hapo na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya gari lao kugongwa na malori mawili ya mizigo.


Ajali hiyo ambayo ilitokea katika muda wa usiku katika barabara kuu ya Moshi, Chalinze katika eneo la hedaru ilisabababisha magari matatu ambayo ni Fuso lenye namba za usajili T 299 ANM likitokea Moshi kwenda Dar es Salaam na Scania namba T 737 AKW lenye tela namba T 776 CCN ambalo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Moshi Kwa mujibu wa Kamanda Boaz.Aliwataja waliokufa katika ajali hiyo kuwa ni Stella John (45), Salma  Kizoka (33), Marry Senzige (49), Neema Daniel (52), Rehema George (29), Sophia Mbike (51), Mama Ritta Kallani (55), Mama Kallan Stephano
(55), Kolina Mmasa (55), Bahati Daudi (25), Farida Kiondo (24) na Maria John (33) wote wakazi wa Kongei,Kata ya Hedaru,Tarafa ya Chome-Suji. Hata hivyo, miili ya marehemu hao
imehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Same.
habari kamili :: read more...

Kitale adaiwa kula michango ya kumbukumbu za Sharo Milionea.

 Msanii wa vichekesho Musa Kitale.
Makubwa! Mama mzazi wa aliyekuwa nyota wa filamu na muziki, marehemu Hussein Mkieti ‘Sharo Milionea’ amemtuhumu msanii wa vichekesho ambaye alikuwa rafiki wa mwanaye, Musa Kitale kuwa alikula michango ya kumbukumbu ya kifo cha mwanaye, mwaka jana.

Kwa mujibu wa chanzo makini, Mama Sharo amekuwa akimlalamikia Kitale kwa watu kwamba alikula fedha za mchango wa mwanaye hivyo kupigwa marufuku kwamba kitu chochote kinachomhusu Sharo asipewe.

Mama yake na marehemu Hussein Mkieti  aka ‘Sharo Milionea’ .

Ilidaiwa kwamba, chanzo cha mama Sharo kutaka Kitale asipewe kitu chochote kinachomhusu marehemu ni baada ya hivi karibuni Klabu ya Bongo Movie Unity kutangaza kuwa litatoa Tuzo kwa Sharo Milionea kama kumbukumbu kwani alikuwa ni mwenzao katika tasnia ya filamu.

Ilisemekana kuwa mama huyo alielezwa kwamba tuzo hiyo itapokelewa na Kitale ndipo alipokataa na kusema hataki kabisa kitu chochote kipitie kwa msanii huyo kwa sababu huwa hamfikishii.

“Mama Sharo amekuwa akilalamika kwa muda mrefu sana kwamba Kitale anatumia vitu vya mwanaye, eti alichangisha michango ya kumbukumbu hakumfikishia hivyo kwa sasa ameamua kupiga marufuku asikabidhiwe kitu chochote,” kilisema chanzo hicho.

Baada ya kupata habari hizo, wanahabari wetu walimtafuta Kitale ambapo kabla hata ya kujibu tuhuma hizo, alinyanyua simu na kumpigia mama Sharo kumuuliza kama kweli amezungumza madai hayo.

Mama Sharo alikiri kuwa ni kweli alizungumza akidai alifikia uamuzi huo baada ya kutonywa na watu kuwa Kitale amekuwa ‘akichikichia’ fedha za marehemu mwanaye.

Kitale, baada ya kujiridhisha, alitoa ufafanuzi kuwa madai hayo hayana ukweli na kudadavua kwamba wakati wa kumbukumbu ya Sharo mwaka mmoja (Novemba) tangu alipofariki dunia, hakuna michango yoyote iliyotolewa.

“Inaniuma sana kwa sababu enzi za uhai wa Sharo hatukuwahi kugombana hata siku moja na mama Sharo alikuwa analitambua hilo, tuliishi kama ndugu na mimi ndiye niliyemsaidia mpaka akapata umaarufu lakini sasa namshangaa huyu mama kunishutumu vitu vya uongo,” alisema Kitale kwa huzuni huku jasho likimtiririka.
habari kamili :: read more...

Mfanyabiashara wa madini Mererani apora mke na kumtaka adai talaka kwa mumewe.

KIGOGO wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ (38) anadaiwa kupora mke wa mtu, Violet Herman Masawe (29) huku ikisemekana anatumia jeuri ya fedha kumnyanyasa mwenye mke.

Kigogo wa kampuni ya kuchimba madini ya Afgem iliyopo Mererani mkoani Manyara, Abdallah Mwakaleja ‘Dullah’ anayedaiwa kupora mke wa mtu.

Akizungumza na gazeti hili, mume wa mwanamke huyo, Silvester Masawe mkazi wa Usa- River, Arumeru, Arusha alisema kuwa alifunga ndoa na Violet mwaka 2004 katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Kalori, Usa River na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume, Clinton Masawe (9).


Mlalamikaji huyo alisema baada ya muda mkewe alibadilika tabia na kuanza dharau na kutomheshimu mumewe.

Alisema aliamua kufanya uchunguzi wa kina  na kubaini kwamba mkewe huyo ana uhusiano ya kimapenzi nje ya ndoa. Hata hivyo, Masawe hakuweza kufahamu nani anayeingilia ndoa yake kwa kupindi hicho.

Siku ya ndoa kati ya Bi. violet Herman Massawe na Silvester Masawe mkazi wa Usa- River, Arumeru, Arusha.

Anaeleza: “Mgogoro ndani ya ndoa ulizidi kupamba moto. Watu, wakiwemo wazazi walisuluhisha ndoa yetu, amani ikarejea kwa muda ila sikuwa nikipatiwa unyumba kwa muda mrefu.”

Alisema hali hiyo ilimfanya awe mnyonge huku mkewe akifanya atakavyo, ikiwemo kuondoka nyumbani na kurudi muda anaotaka akiwa na harufu ya pombe hali iliyomlazimu Masawe kuishi kama mkimbizi
ndani ya nyumba yake.

Mtoto wa miaka tisa ambaye Bw. Silvester Massawe amezaa na Bi. Violet .

Alieleza kuwa siku moja alisafiri kibiashara kwa muda mrefu na kumwacha mkewe akisimamia biashara nyingine ikiwemo nyumba ya kulala wageni, duka la jumla na rejareja.
Hata hivyo, hakuamini masikio yake baada ya kupata taarifa kuwa mkewe hayupo nyumbani kitambo na baadhi ya bidhaa za dukani zimeyeyuka.

‘’Nilianza uchunguzi, ndipo nilipopata taarifa kuwa mke wangu anaishi na mwanaume aliyetajwa kwa jina la Dr.Dril (Dullah),” alisema na kuongeza:

‘’Niliamua kufuatilia ila sikuelewa walipokuwa wanaishi, lakini nilibahatika kupata namba zake za simu na kumpigia. Alinijibu hanijui na nikitaka nikashitaki popote kwani anayo fedha na kwa vile mwanamke nilimtelekeza, nimemwona amependeza, namtaka, simpati ng’o.”

Alisema alikwenda kutoa taarifa Kituo cha Polisi Usa River juu ya upotevu wa familia yake ambayo ni mke na mtoto huku akimtaja anayemhisi.

Mwanaume huyo alisema polisi walimpigia simu Dullah na alifika kituoni. Alipoulizwa kuhusu kuishi na mke wa mtu wakati akijua ni kinyume cha sheria, alikiri  na kusema  alikuwa hajui kama mwanamke huyo ni mke wa mtu. Polisi walimuamuru kumrudisha mwanamke huyo kwa mumewe, lakini hadi sasa hajafanya hivyo.

Akizungumzia tuhuma hizo alipoongea na gazeti hili, Dullah alikiri kuishi na Violet na kujinasibu
kuwa mwanaume huyo hana hadhi ya kuishi na mwanamke mrembo kama huyo kwani akiwa kwake alimchakaza ila kwa sasa amenawiri.

‘’Huyo mwanaume alimtelekeza mke wake kwa muda mrefu, niliamua kuishi naye kama mke baada ya kumwona ana sifa zote,’’ alisema Dullah.

Alisisitiza kuwa, hana mpango wa kumwacha mwanamke huyo kwa vile ameshamnunulia gari aina ya Toyota Noah kwa ajili ya kutembelea tu. Kwa upande wake Violet, alisema hana mpango wowote wa kurudi kwa Masawe kwani kwa sasa ameanza maisha mapya na kilichobaki anafanya mpango wa kupata talaka ndani ya mwezi huu.
habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top