Sunday, March 30, 2014

Liverpool wazidi kupaa kileleni. FT Liverpool 4-0 Tottenham.

Mashabiki wa Liverpool wanaomba kwa hali na mali katika game zilizobaki Man city afungwe game moja alafu wao watamaliza kazi kwani wana game nae.
hayo yamekuja baada ya mechi ya leo kushinda goli 4 bila dhidi ya Totttenham na kuwa kileleni mwa EPL kwa point 71 mbele ya Chelsea yenye 69 na Man city yenye 67.

Kinachowafanya waombe ni kwamba wamecheza game 32 na City wamecheza game 30 hivyo ni kama city wana point 6 mkononi.

Huu ndio msimamo ulivyo baada ya mechi ya leo.
Habari zaidi tembelea angazio soka
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top