Tuesday, December 31, 2013

Kijana ataka kujirusha katika mnara wa simu Ubungo Dar.Askari Zimamoto na Uokoaji wamdhibiti.


Askari wa kikosi cha zimamoto na uokoaji wamefanikiwa kuzima jaribio la kujirusha la kijana mmoja aliyetaka kujirusha maeneo ya ubungo Dar kama hataonanan na rais kisa kesi aliyebambikizwa na polisi.

habari kamili :: read more...

Hivi ndivyo Police wa China walivyomnasa Jack Patrick na Heroin

Mambo yaliyochangia kunaswa kwake ni uso wa uchovu, kuanza kuwa na hali mbaya ya mwili,
kushindwa kujibu maswali vizuri na hati yake ya kusafiria (passport) yake kuonesha kugongwa mihuri ya kuingia nchini humo kila mara.

Habari zinasema ndipo maafisa wa uwanja huo walipomweka pembeni na baadaye kumpeleka kwenye chombo cha kukagua kwa undani mwili wa binadamu,
 walipojiridhisha ana ‘mzigo’ wakampa polisi mwanamke (WP) kwa ajili ya kwenda kusimamia utoaji wa kete hizo chooni kwa njia ya haja kubwa.


Baada ya kutoka chooni, ikafuata hatua nyingine. Jack aliwekwa mbele ya mapaparazi akiwa amevalishwa maski nyeusi usoni ili asionekane sura kisha akapigwa picha za kumwaga.
habari kamili :: read more...

Wasanii wa bongo tusivae kama hawa haya sio maadili kabisa

Kizazi kinakoelekea sio kuzuri kabisa kwani wasnii ni kioo cha jamii sasa mnavyofanya mambo ya ajabu basi tambueni kuwa jamii itaiga mambo hayo.

Tumezoea kuona mambo yaho yakifanyika marekani lakini kwa sababu ya utandawazi hata bongo yameshaf.
Wasanii wamarekani wanamivao gani isiyo na maadili?
Wanaume hushusha surali kwa nyuma kiasi cha kuonesha matako staili hii sio nzuri kabisa hapa kwani itaharibu kizazi kipya.

habari kamili :: read more...

Monday, December 30, 2013

Vijana wazieni kazi mkiwaza kuwaridhisha wake zenu hamtafanikiwa.

Mzee mmoja (jina lake na mkoa anaotoka tunahifadhi)amewaasa vijana wasilimbuke na ngono na badala yake waelekeze nguvu zao katika ubunifu wa kujitafutia kipato.

Yeye ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 93 anasema shida za kutoaminiana ziko toka enzi hizo wala hazijaanza jana hivyo vijana wakibweteka kudhani eti kusalitiana kunatokana na kutoridhishana sio kweli kwani mwanamke ni mwanamke tu hata ungefanyeje.

habari kamili :: read more...

Sunday, December 29, 2013

Tiba asilia ya kuacha kupiga Punyeto.



Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekondari  za  bweni  za  wavulana  tu ), kujiepusha  na  hatari  ya  kupata  maambukizi  ya  v.v.u  nakadhalika.
habari kamili :: read more...

Contact Us::Wasiliana Nasi.


habari kamili :: read more...
 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top