Zipo
sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume
kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo
ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa
na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa
katika mazingira yasiyokuwa na wanawake (
mfano katika shule za sekondari za
bweni za wavulana tu ), kujiepusha na
hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u
nakadhalika.
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu,upigaji
punyeto ni moja kati ya matendo
yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu
yanapigana na utaratibu aliouweka .
Kwenye
kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa
Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda
kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili
aweze kumzalia watoto.
Kwa mujibu
wa mila na desturi za kiyahudi wakati
huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu
wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa
mjane aliye achwa na kaka yake, na
watoto watakao zaliwa watabeba jina la
marehemu kaka yake..., aina hii ya
ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE
)Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba
mjane wa kaka yake ilihali akijua
watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake,
hivyo basi kila mara alipokutana kimwili
na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu
zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu
kile cha Mwanzo 38:
10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "
Umeona!
Kumbe basi adhabu ya kiroho ya tendo
la masturbation ni “umauti!”. Umauti huo
unaweza usiwe kama ulio mpata Onan, ila
unaweza kuja katika sura tofauti. Mfano
kufa kwa nguvu za kiume, ni adhabu
tosha sana kwa mwanaume
yoyote yule duniani na inaweza kuwa
kali kuliko hata ile aliyopewa Onan.
DAWA YA ASILI NA
YA KUKUFANYA UACHE KUFANYA
PUNYETO.
Uzoefu
unaonyesha, mtu anayepiga punyeto, hata kama
ameathiriwa na tatizo la punyeto kwa
kiwango gani, endapo atafanikiwa kutopiga punyeto
kwa muda wa siku arobaini mfululizo, mtu
huyo hatopiga tena punyeto katika siku
zote za maisha yake kwani tayari mtu
huyo atakuwa amerudia katika hali yake
ya kuto kuwa addicted tena na upigaji
punyeto, na atalichukia kabisa hata jina la
tendo hilo achilia mbali tendo lenyewe.
Sio
rahisi kwa mtu aliyekuwa addicted na
punyeto kustahimili kujizuia kupiga punyeto
kwa muda wa siku arobaini mfululizo.
Anaweza kujizuia kupiga punyeto kwa siku
mbili lakini baada ya hapo ataendelea
tena na mchezo wako.
ATUMIE DAWA IPI?
PILIPILI:
Pilipili
inayo hitajika hapa ni yoyote ile ili
mradi iwe kali sana, ( Ila inayo
pendekezwa ni pilipili mbuzi ama pilipili
kichaa, pilipili hoho haihusiki hapa ).
MATUMIZI
Kwanza
kabla ya kujua matumizi ni vyema ukatambua
muda ambao huwa unapiga punyeto (
Mara nyingi huwa ni asubuhi baada ya
kuamka,wakati wa kuoga ama usiku kabla
ya kulala ).Chukua pilipili zako, zipasulie
kwenye viganja vya vidole vyako na
kujipakaza katika viganja vya vidole vyako.
Unaweza kutumia pili moja kwa kila
kiganja, na kwa kila muda ambao huwa
unapiga punyeto lakini unaruhusiwa
kujipakaza zaidi ya pilipili moja.
Ukishajipaka
pilipili kwenye viganja vya vidole vyako,
moja kwa moja unakuwa umekwisha jilazimisha
kutokufanya punyeto, kwa sababu ukipiga punyeto
kwa viganja ambavyo vina pilipili utawashwa
sana wala hautaweza kufurahia tendo hilo.
JAMBO LA KUZINGATIA :
Hakikisha unakuwa na walau pilipili mbili
mpaka nne kila unapokuwa katika
maeneo ambayo yanaweza kukuchochea kufanya
punyeto.
UFANISI WA DAWA HII : Dawa
hii inawafaa wale tu ambao wamedhamiria
kutoka mioyoni mwao kuacha kufanya punyeto.
Kwa wale ambao hawajadhamiria haitaweza
kuwasaidia.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment