Tuesday, December 31, 2013

Wasanii wa bongo tusivae kama hawa haya sio maadili kabisa

Kizazi kinakoelekea sio kuzuri kabisa kwani wasnii ni kioo cha jamii sasa mnavyofanya mambo ya ajabu basi tambueni kuwa jamii itaiga mambo hayo.

Tumezoea kuona mambo yaho yakifanyika marekani lakini kwa sababu ya utandawazi hata bongo yameshaf.
Wasanii wamarekani wanamivao gani isiyo na maadili?
Wanaume hushusha surali kwa nyuma kiasi cha kuonesha matako staili hii sio nzuri kabisa hapa kwani itaharibu kizazi kipya.


Kwenye show moja huko nchini marekani msanii maarufu lil wayne alipata aibu kubwa pale iliposhuka suruali yake wakati akiwa jukwaani akitumbuiza. Kata k noma sana.
 
Wanawake nao huvaa mavazi au mafupi sana au yanayoonesha maumbile ya mwanamke hasa katika kiuno. Yaani wako tayari kujifunika kicha ila kiono kiwe wazi.
Nawaasawatanzania hizi sio staili za kuigwa.





 

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top