Sunday, March 30, 2014

kweli Lady Gaga ameshindikana ona mavazi aliyovaa kwenye Berthidei yake.

 Mwanamuziki wa pop asiyehishiwa  vituko kila kukicha, Lady gaga ametoa mpya baada ya kuvaa nguo iliyomuacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake kiasi kwamba unaweza ukaona kila kitu alichovaa kwa ndani wakati  akisherehekea  siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 28  iliyofanyika katika ukumbi wa ‘Roseland Ballroom’ New York Marekani



”Asanteni sana kwa kujumuika na mimi kwenye bethidei yangu, nilipoamka asubuhi nilikuwa na furaha. Nilikuwa nahamu ya kuwepo hapa usiku huu. Nina marafiki wengi hapa..mashabiki wengi na nimekulia kwa miaka sita” alisema Gaga.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top