Friday, August 29, 2014

WAPIGANAJI WA ISIS WATOA ONYO LINGINE KALI KWA US (MAREKANI).


SAA chache baada ya kuuwa wanajeshi 300 wa Syria, Kundi la wapiganaji wa ISIS limetoa onyo lingine kwa Marekani likiachia video inayowaonyesha mateka 15 wa Kikurd ambao nao watauawa iwapo Marekani haitaondoa majeshi yake.

Mateka 15 wa Kikurd wanaoshikiliwa na wapiganaji wa ISIS.ISIS wamesema wataendelea kuwachinja mateka hao mpaka Marekani itakapoondoa majeshi yake.

Katika video hiyo, Kundi la ISIS linaonekana likimchinja mmoja wa mateka hao wa Kikurd waliokamatwa wakati wa mapigani nchini Iraq.

Wapiganaji wa ISIS wakiwaswaga wanajeshi zaidi ya 200 waliokamatwa katika ngome ya anga ya Tabqa nchini Syria katika jangwa kuelekea eneo la mauaji.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

Video Tamu ya Nick minaj inayo Attact you for her Business that Shows Off Her Blessed Assets.


PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top