Friday, August 29, 2014

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA.

 Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa.

NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa wanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni.

Rais Jonathan akitumia kitambulisho chake kwenye ATM.

Baada ya uzinduzi huo, imebainika kwamba Wanaigeria wote watapaswa kuwa na kadi hiyo mpaka kufikia mwaka 2019 endapo watakuwa na haja ya kupiga kura.

Jaribio la kutaka taifa la Nigeria kuwa na vitambulisho vya taifa lilishindwa kutimia miaka kumi iliyopita kutokana na rushwa.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top