Thursday, June 12, 2014

MISHAHARA YA MAKOCHA WA KOMBE LA DUNIA, Fabio Capello ndiye anayeongoza.

 Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, Fabio Capello ndiye anaongoza kwa kulipwa vizuri miongoni mwa makocha wote wa timu za taifa zinazoshiriki Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil.
 Laughing all the way: Hodgson may be on less than his predecessor, but he still makes £3.5m a year
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Roy Hodgson analipwa pauni Milioni 3.5 kwa mwaka.


Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka



Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top