Thursday, June 12, 2014
Browse » Home »
Michezo
» Hivi ndivyo Neymar alivyonyoa tayari kwa mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia baina ya BRAZIL VS CROATIA.
Hivi ndivyo Neymar alivyonyoa tayari kwa mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia baina ya BRAZIL VS CROATIA.
Mshambuliaji mahili wa Brazil ambaye anatarajia kung'ara katika kombe la Dunia amenyoa nywele staili ya Delima na kusema atafanya kile alicho kifanya Ronaldo Delima mwaka 2002 kule Japan na South Korea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment