Wednesday, June 11, 2014

HIKI NDICHO KIFAA KINACHOWEZA KUMFANYA MWANAMKE AKOJOE AKIWA AMESIMAMA.

inasemekana kitafungwa katika makutano ya watu wengi ikiwemo sehemu za viwanja vya ndege,bandari,stesheni ya reli na penginepo kurahisisha shuguli ya kuchimba dawa na kwamba si lazima kutenganisha kati ya wanawake na wanaume katika sehemu hizo kwani wataruhusiwa kwenda hata sehemu moja.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top