Wednesday, June 11, 2014

Haya ndio Majibu ya Mbunge Salvatory Machemli kuhusu picha za utupu zilizosambazwa zenye sura yake.

Siku chache zilizopita kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambazwa picha mbalimbali za Wabunge wa Bunge la Tanzania zikionyesha wakiwa kwenye sehemu za faragha sehemu ambazo hutumiwa zaidi na wapenzi na zaidi ni namna ya picha hizo maana zingine zilikua ni zaidi ya nusu utupu.

Salvatory Naluyaga Machemli mbunge wa Ukerewe kupitia Chadema ni miongoni mwa wabunge waliotajwa kuwepo kwenye orodha hiyo na ni baada ya kusambaa kwa picha zinazomuonyesha akiwa na binti wakiwa zaidi ya nusu utupu,Soudy brown kaongea nae majibu na kila kilichozungumzwa kipo hapa.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top