Wednesday, June 11, 2014

KANGE LUGOLA ALIVYOTINGA BUNGENI AKIWA AMEVAA BANGO LA KUOMBA KURA.

 
 Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya Mjumbe  wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo.


Mbunge wa Mwibara akivua bango alilokuwa ameva wakati akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa  Mjumbe wa Tume ya Utumishi  Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 11, 2014. Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwanza Mjini, Ezekiel Wenje , Bungeni mjini Dodoma Juni 11, 2014.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top