Yusta akiwa hospitalini Mwananyamala alipotembelewa na mtandao huu.
Akipata huduma za muuguzi.
AMINA MAIGE ambaye alikuwa bosi wa hausigeli Yusta Lucas (20) wa jijini Dar es Salaam, atafikishwa mahakamani wakati wowote kwa tuhuma za kumng’ata sehemu mbalimbali za mwili kwa miaka kadhaa mfanyakazi wake huyo na kusababisha kulazwa hospitalini Mwananyamala. Hii ni kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment