Wednesday, June 11, 2014

STAA WA FILAMU ZA BONGO Ruth Suka ‘Mainda’ SASA KUFANYA MUZIKI WA INJILI.

Staa wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’.

STAA wa filamu Bongo ambaye aliamua kuachana na mambo ya dunia na kuokoka, Ruth Suka ‘Mainda’ amepania kufanya mambo makubwa katika muziki wa Injili ili afike anga za kimataifa.


Akistorisha nasi, Mainda alisema kutokana na muziki huo kuonekana kufanya vizuri zaidi nyumbani kuliko nje, yeye anataka afanye zaidi katika levo za kimataifa.

“Naamini hakuna linaloshindikana kwa Mungu, isitoshe najikubali kwenye sauti, sijaona mwimbaji wa Kwaya anayeweza kunifunika, nina uwezo wa kuleta ushindani mkubwa katika fani hiyo na nitahakikisha najitangaza ndani na nje ili kuipeperusha vyema bendera ya nchi hii,” alisema.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top