Mh.Mwigulu Nchemba akiwa na Mke wake Wakiomboleza Msiba wa Marehemu Musa Madelu
Mh.Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake,Pia Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kyengege Jimboni Iramba wakati wa kwenda kupokea Mwili wa Marehemu Kijijini Kwao Makunda.
Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Musa Madelu Nchemba likipelekwa eneo la Kaburi tayari kwa Mazishi.
Baba Mzazi wa Marehemu Musa Madelu akiweka Udongo kwenye Kaburi la Mwanaye Marehemu Musa madelu.
Mama Mzazi wa Marehemu akiweka Udongo Kaburini.
Marehmu Musa Madelu alifariki Tar.08/03/2014 baada ya Kuugua Muda Mfupi,Mazishi yake yalifanyika Jana Tar.10/03/2014 Kijijini Kwao Makunda Kata ya Kyengege,Wilaya ya Iramba-Singida.Marehemu alikuwa ni Kaka wa Mh.Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara.
Mungu Ametoa,Mungu Ametwaa
Jina la Bwana Lihimidiwe
Amina
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment