Wednesday, March 12, 2014

18+! Ona jinsi mdada alivyozamisha kidole sehemu nyuma ya mrembo mwenzie baada ya kulewa.

Warembo wawili ambao majina yao hayakuweza kupatikana mara moja wakazi wa jijini Dar es Salaam,  hivi karibuni walinaswa wakifanya vitendo vya kifirauni hadharani bila kuhofia umati wa watu uliokuwa ukiwatazama.
Tukio hilo la aibu lilinaswa na paparazi wetu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Travertine uliopo Magomeni jijini Dar es Salaam ambapo kundi jipya la New Five Stars lilikuwa likizinduliwa.


Kama hiyo haitoshi, demu huyo‘ alifikia hatua ya ‘kumchojoa’ mwenzake kitendo kilichowafanya watu waliokuwa wakiwakodolea macho kupigwa na butwaa.
  Hapo akimzaba kakofi kwa nyuma.
“Jamani dunia imekwisha, hawa akina dada wanafanya mambo gani haya mbele za watu? Hii yote pombe, ama kweli pombe si chai,” alisikika dada mmoja akimwambia rafiki yake
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top