
Mwenyekiti wa shirikisho la kandanda ulimwenguni, FIFA, Sepp Blatter, amesisitiza ilikuwa kosa kuchagua Quatar kuwa mwenyeji wa kombe la dunia la mwaka wa 2022. Katika mahojiano na televisheni nchini Uswizi, Sepp Blatter aliulizwa iwapo kuiruhusu Quatar kuwa mwenyeji wa kombe hilo ambalo huchezwa kati ya mwezi Juni na Julai ilikuwa kosa, hasa ikizingatiwa kuwa hali ya hewa katika nchi hiyo hufikia hadi nyuzijoto 50 wakati huo. HABARI KAMILI BOFYA HAPA
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment