mtotoTaarifa inasema kuwa kuna mwanamke alikuwa anaishi na msichana wake wa kazi amefanya unyama kwa msichana huyo kwa kumfungia ndani kwa miaka 3 na kumtesa kwa kumn’gata’kwa meno ikiwa ni pamoja na kumchoma na pasi.
Mengine amekua akimpiga kila sehemu ya mwili wa huyo binti huyo na kwa sasa ana makovu mpaka kwenye makalio na kitu ambacho hakijafamiaka ni msichana huyo kujisaifia haja ndogo kila baada ya dakika 5.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment