Thursday, June 5, 2014

CHATU ANAYEHUSISHWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA AUAWA ARUSHA JIONI HII.

Chatu akiwa anatambaa pembeni ya ukuta kuingia ndani ya nyumba hiyo huku wananchi wakimshangaa
 Chatu akiwa ametumbukia ndani ya nyumba hiyo kupitia tundu la ukutani
 Hicho ni kitambaa ambacho alikuwa amefungwa chatu huyo mkiani.
 
Chatu akiwa amekatwa katwa na wananchi
Chatu wa ajabu ameuawa jijini Arusha na wananchi 'wenye hasira kali' leo jioni. Alionekana chatu maeneo ya Sakina akiingia kwenye nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo. Wananchi walipomuona, waliogopa, wakampigia simu mwenye nyumba ambaye wakati huo hakuwepo nyumbani. Lakini cha kushangaza, mwenye nyumba akawaambia wasimuue kwani ni mwanae!

Cha kushangaza zaidi, chatu huyo alipoangaliwa vizuri alionekana anaburuza karatasi nyeupe aliyokuwa amefungwa mkiani ambayo ilikuwa imeandikwa maneno ya kiarabu ambayo hakuna aliyejua yana maana gani, hatimaye chatu huyo ameuawa!

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top