Thursday, June 5, 2014

MBEYA CITY WALAMBA SHAVU NONO KUTOKA BINSLUM TYRES CO. LTD

Timu ya soka ya Mbeya ya City kutoka jijini Mbeya imeingia mkataba na kampuni ya Binslum Tyres Co. Ltd ambao utakuwa wa miaka miwili na wenye thamani ya Tsh milion 360. Katika mwaka wa kwanza klabu ya Mbeya City itavuna kiasi cha shilingi milioni 180 na mwaka wa pili watapokea kiasi kama hicho cha pesa. Kwa hiyo Mbeya City watavaa jezi ambazo zina nembo ya RB ikiwa ni mabetri maarufu ya kampuni hiyo hapa nchini.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top