Msanii wa filamu Bongo, Lucy Komba hivi karibuni amenaswa akiwa amevaa pete ya uchumba huku tetesi zilizopo zikidai kuwa anatarajia kufunga ndoa
Lucy alipigwa chapo akiwa na pete hiyo kwenye msiba wa muigizaji Saidi Ngamba ‘Mzee Small’ ambapo alipobanwa kuizungumzia alichenga kwa kusema:
Pete ya uchumba aliyovishwa msanii Lucy Komba
“Sijui hata nikuambie nini, pete umeiona na kama unahisi niko kwenye mchakato wa kuolewa, mambo yakiwa tayari si nitaweka wazi kila kitu. Kwa sasa mniache na mjue kama ni kuolewa ni hapa Bongo wala siyo nje ya nchi.”
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment