Tuesday, March 11, 2014

Soma hapa jinsi house girl huyu alivyompa talaka mke wa mtu na yeye kukaba chance.

Siku ya kwanza:
Siku moja narudi nyumbani jioni nikakuta mme wangu kawai kurudi na nikamuuliza mbona hujanitaarifu akaniambia alioana haina haja kwani angenisumbua kazini lakini nikakuta amesweat sana nikamuuliza na mbona wahema akajibu anajisikia kichwa kinauma.

Siku ya pili:
 kuna kipindi niliposafiri na niliporudi nilikuta kitanda changu kimetandikwa vizuri mpk nikawa na was was, sbb mume wangu huwa hatandiki wala habadilishi shuka mpaka nirudi safari. nilimuuliza mume wng nani kamtandikia kitanda? kwani najua kbs hata km ni yeye katandika hawezi kunyoosha shuka vizuri, mara nyingi mume wng yupo rafu, akaniambia amemuomba house girl amsaidie kutandika, nikamuuliza tangu lini house girl anaingia chumbani kwng? akasema samahani mke wng sitarudia tena nikanyamaza moyoni nikaanza kuwa na shaka lkn sikufatilia saana.

Mwishowe:
Mume wangu ananililia ananiomba nimsamehe na nikubali kulea mimba ya huyo binti , sitaki tabu nimechukua kilicho changu na kuondoka aishi na huyo mke wake.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top