Tuesday, March 11, 2014

Hivi ndivyo Mhe. Samuel Sitta alivyochukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Bunge la Katiba.



Mgombea Uenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akipokea Fomu kutoka kwa Ofisa wa Bunge Bi. Lidya Mwaipyana. Katikati ni Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Nzega, Dk Hamisi Kigwangala.

Mhe. Sitta akionesha fomu aliyochukua leo. Kushoto ni Mhe. Dk Kigwangala na kulia ni Mjumbe wa Bunge hilo Bw. Paul Makonda. (picha zote: Hassan Silayo/MAELEZO).


Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top