Sister Paula Msambwa miaka 75 ambaye pia ni muuguzi katika hospitali teule ya Tosamaganga akimuonyesha mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa na kusema nimefurahi sana kuona mjukuu wangu akigombea ubunge.
Sister Paula Msambwa miaka 75 ambaye pia ni muuguzi katika hospitali teule ya Tosamaganga na mwalimu wa Marehemu Dr.William Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo akitoa ushuhuda wake na kufurahia kumuona mjukuu wake Godfrey Mgimwa akigombea ubunge katika jimbo la Kalenga Sister Paula amekiri na kusema Marehemu Dr.William Mgimwa alipenda sana somo la hesabu na alikuwa ni mwanafunzi mwenye kipaji na nidhamu
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment