Mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mh.PETER MSIGWA kwa mara nyingine amefikishwa jana katika mahakama kuu ya mkoa , kufuatia tuhuma inayomkabili ya kufanya vurugu katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata ya nduli manispaa ya iringa.
Tukio hilo limetoke tarehe 6 ya mwezi wa pili ambapo SALUM KEITA mjumbe wa kampeni hizo kupitia chama cha mapinduzi alidai kufanyiwa vurugu na mbunge wa jimbo la iringa mjini kwa kumpiga.
tarehe 9 ya mwezi wa 4 mwaka huu.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment