Kajala, Wema, Aunt na Zamaradi wakiwa katika pozi tofauti.
Wakicheza na Mirror
Msanii Dyana Kimaro katika pozi.
MASTAA wa filamu Bongo, Wema Sepetu, Aunt Ezekiel, Kajala Masanja pamoja na wasanii wa Bongo Fleva Chid Benz na Miraji Hussein ‘Mirror’ hivi karibuni walitinga katika jiji la Arusha kwa ajili ya kumtambulisha msanii Mirror kwenye klabu ya Triple A.









0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment