Tuesday, February 4, 2014

Wafuasi wa CHEDEMA Wawapiga CCM, mmoja ajeruhiwa na kulazwa;Stori nzima hapa.

 Kada wa umoja wa Vijana mkoa wa Morogoro Daniel Richard aliyelazwa wodi namba moja katika hospitali ya mkoa wa Morogoro baada ya Chadema kuwavamia na kuanza kuwapiga wakati wakitoka katika kampeni ndogo za udiwani kata ya tungi Manispaa ya Morogoro.
 

Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Lomuli akijadili jambo na viongozi wa CCM wilaya ya Morogoro mjini nje ya wodi namba moja walikokwenda kumwona kada huyo.
 
Huyu ni miongoni mwa vijana 80 wanaodaiwa kuletwa manispaa ya Morogoro kwaajili ya kufanya vurugu wakati wa kampeni za uchaguzi  wa udiwani tungi, alikamatwa baaada ya kumpiga mmoja wa makada mjini hapa ambaye amelazwa Hopitali ya mkoa,
 
Hii ni pikipiki aliyokmatwa nayo kijana huyo wa Chadema wakati wa vurugu hizo akiwa chini ya ulinzi wa polisi.
 
Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa wa Morogoro wakimjulia hali kada huyo.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top