Thursday, February 13, 2014

Wanandoa waumbuka baada ya kudharau agizo la mama mwenye nyumba kuweka pazia dirishani.

Hivi juzu mabinti hawa walifulumushwa dirishani wakila chabo kinachoendelea ndani maeneo ya vingu nguti.
 Hatari sana.
Wanandoa mnaoishi nyumba za ushairini kuweni makini na mbwa mwitu madirishani.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top