Thursday, October 30, 2014

ROSE NDAUKA: SIOLEWI TENA BORA NITAFUTE HELA ZANGU KULIKO KUTEGEMEA ZA WANAUME.

Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani mwenyewe anajitosheleza.

Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kipindi hiki hafagilii kabisa mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana uwezo wa kujitosheleza kifedha. “Mimi sina bwana kwa sasa na wala sihitaji hao mapedeshee, watanisaidia nini wakati nafanya kazi zangu zinazoweza kuniingizia fedha, nina akili timamu, nina miguu na nina macho sasa kwa nini nitegemee pesa ya mtu?” alihoji Rose.

MLEGEZO WAMPONZA CHID BENZ ATAITIWA MAHAKAMANI, POLISI WATOKA NAYE MKUKU.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top