Thursday, October 30, 2014

KOFI ANNAN: EBOLA NI UGONJWA WA WATU MASKINI NA SIO MATAJIRI.

Mwana Diplomasia kutoka Ghana ambaye pia ni Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan amesema ugonjwa wa Ebola ni wa ‘maskini’ na sio matajiri.Annan amesema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kituo cha CNN ambapo amezungumzia sababu kadhaa zinazopelekea mapambano ya dhidi ya Ebola kuchukua muda mrefu huku maelfu ya watu wakipoteza maisha.

Katibu Mkuu huyo mstaafu amesema Ebola ni ugonjwa wa maskini kwa kuwa tangu ugundulike ni takribani miaka 40 imepita, ambapo kwa nchi tajiri ingewezekana kufanyika tafiti ambazo zingesaidia kupata ufumbuzi wa tiba ya ugonjwa huo, kitu ambacho nchi maskini za Afrika hazina uwezo wa kuwekeza kwenye tafiti hizo.

Match report; Cornella 1-4 Real Madrid: Varane at the double in easy victory.



HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top