Bwawa lililopo eneo la Mabibo (Mabwawa Saba) ambapo maiti ya marehemu Omari Mkulu ilikutwa ikielea.
Tukio hilo lilitokea maeneo ya Mabwawa Saba, Mabibo jijini Dar ambapo majirani wa eneo hilo walidai kuwa waliiona maiti ya Omari ikiwa inaelea kwenye moja ya bwawa eneo hilo lakini kutokana na maiti hiyo kuvimba haikuwa ikitambulika.
Mmoja wa ndugu wa marehemu Omari Mkulu akilia kwa uchungu.
American journalist James Foley beheaded by 'British' jihadist in horrific Islamic State video.
Kwa mujibu wa marafiki zake ambao walifanya jitihada za kusafiri hadi Chanika kwa baba wa marehemu ili kuhakikisha kama kweli maiti ile ilikuwa ni ya Omari na kuthibitisha kuwa ni kweli, walidai kuwa kabla marehemu hajatoweka, alilipwa fedha zake za ujenzi ambapo ilidaiwa kuwa alikwenda kuzitumia kwenye pombe mpaka usiku wa manane.Angalia hapa Video Tamu na Mpya Kabisa ya Nicki Minaj ANAKONDA.
Waandishi wetu walipofika katika eneo la tukio, waliishuhudia maiti hiyo ikitolewa kwenye bwawa hilo ambapo umati wa watu waliofika katika eneo hilo walipewa nafasi ya kumtambua ambapo mmoja wa watu waliofika alidai kuwa mtu huyo ni jirani yake, akawaelekeza waandishi nyumbani kwa marehemu.Marehemu Omari Mkulu (kushoto) akiwa na marafiki zake enzi za uhai wake.
Waandishi wetu walifika nyumbani kwa marehemu na kuzungumza na mama mkubwa wa Omari aliyejitambulisha kwa jina la Zainabu Omari ambaye alisimulia kwa uchungu kuwa mwanaye huyo alitoweka nyumbani Agosti 10, mwaka huu baada ya kumpatia shilingi 2,000 alizomuomba.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment