Vijana hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizoRay C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook
Monday, June 9, 2014
Browse » Home »
Afya
,
dondoo
» Ray C kugombea Ubunge 2015 ili kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini.
Ray C kugombea Ubunge 2015 ili kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini.
Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa...
Vijana hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizoRay C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook
Vijana hao wanaamini kuwa Ray C kwa sasa amepitia changamoto nyingi hivyo wanaamini kama akipewa nafasi ya kuingia bungeni inaweza kuwa chachu ya yeye kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya nchini na kuwaokoa vijana wengi wanaopotea kutokana na matumizi ya dawa hizoRay C kwa nini asiingie tu kwenye siasa na akatutetea kwenye mambo ambayo hata yeye alikutana nayo hadi yakataka kumtoa roho, tunaamini anaweza endapo ataamua kufanya hivyo" alidai kijana mmoja ndani ya mtandao wa facebook
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment