Saturday, June 7, 2014

Mume wa Jacqueline Patrick sasa nachepuka na MISS Tanzania 2011, Salha Israel.

 MISS Tanzania 2011, Salha Israel na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira picha zao zimenaswa wakidendeka kwa raha zao.Salha Israel akiwa kwenye pozi la kimahaba na aliyekuwa mume wa mwanamitindo maarufu wa Bongo, Jacqueline Patrick, Abdullatif Fundikira

Baada ya mapaparazi wetu kuzinasa picha hizo kwenye mitandao ya kijamii, walimtafuta Salha na hakupokea simu lakini alipotafutwa Abdullatif na kuulizwa kulikoni? Alitiririka:
“Mh! Kwa sasa sina jibu ila ipo siku kila kitu kitakuwa kweupe msiwe na haraka.”

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top