Kabula alisema kuwa wanaume wengi wamekuwa na tabia ya kuitana baa huku wakihisi kuwa kila mwanamke ni mlevi kutokana na tabia ya baadhi ya wasanii ambao wamekuwa wakijirahisisha kwa kupewa pombe...
"Siwezi kuvua nguo eti kwa sababu ya pombe wakati hata mwenyewe naweza kukaa baa na kunywa kwa pesa zangu.
"Kama kuna mwanaume anataka kutulia na mimi si lazima tukae baa kwani kuna sehemu nzuri mnaweza kukaa na kuzungumza, nasema hivi ili wale wenye tabia hizo waache kabisa," alisema
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment