Friday, June 20, 2014

Italy sasa kukutana na Uruguay kuamua nani apite Full Time Italy 0-1 Costa Rica.

Licha ya matumaini ya wengi kuwa Italy itashinda kwa Costa Rica mambo yakewa sivyo kwan wamefungwa goli moja na kumkatia Cossta Rica tiketi ya hatua ya mtoano .

Goli la Costa Rica lilifungwa kwenye dakika na B. Ruiz 44' na limedumu hadi mechi kwisha.

Italy watajilaumu wenyewe kwani walikuwa hawampatii Baloteli mipira mtu ambaye angeweza kubadilisha matokeo na waliruhusu Costa Rica wamthibiti vizuri pirlo mtu anayeichezesha timu hivyo watakuwa na kibarua kigumu kushinda mechi ya mwisho ili wapita la sivyo wametoka.\

Ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho watacheza na Uruguay Suarez ambaye amepona na yuko fit.


Ungependa stori kama hizi zisikupite na zikufikie wakati wowote? niko tayari kukutumia wakati wowote iwapo utajiunga na mimi kwa kubonyeza Like hapo juu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top