Kama mnavyojua dada yetu MASOGANGE
kwa muda sasa yupo nchini SAUZI na amekuwa sio mchoyo wa PICHA zake,
wakati wote amekuwa anashare nasi picha zake kupitia ukurasa wake wa
INSTAGRAM
Sasa mimi sijajua SAUZI anafanya nini...(Kwa bongo hapa huwa anajishughulisha na kazi ya u-VIDEO KWINI)
Kupitia kile anachoweka huko INSTAGRAM hatimaye imedhihilika wazi kwa jamaa hapo pichani anaitwa Louis Dolnard.... ndio mpango mzima kwa dada yetu...STORY INAANZA HIVI:
Na kweli toka jana usiku fujo ikaanza huko INSTAGRAM..Masogange aliweka picha hapo chini na kuandika "Mtoto si unanielewa, in diamond voice" punde jamaa nae akaposti the same picha na kuandika "With my Everything"
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment