Friday, June 13, 2014

Full Time Brazil 3-1 Croatia.Neymar JR katupia mawili.

Kama kawaida historia imeendelea kubaki kuwa Brazil hajawai kufungwa katika mechi za ufunguzi.
Hiyo imedhihirika leo baada ya Kumfunga Croatia magoli matatu yaliyofungwa na Neymar 29', 71',
   na  Oscar 90'+ huku lile la CRoatia likifungwa na Masello baada ya kuzidiwa.



Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Habari zaidi juu ya Mechi hii bofya hapa

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top