Madame mwenye TEAM kubwa zaidi ya MAFANZI aka TEAMWEMA (Unaweza kuwaita Wapambe,
Mashabiki, nk), haipiti siku bila kuokea kwenye magazeti ya UDAKU na
blogu kama hii (Kwamazuzi au mabaya), Huyu sio mwingine ni MPENDWA wetu WEMA SEPETU...hahahaaha!!
Kupitia Ukurasa wake wa INSTAGRAM ameshare nasi Video Clip fupi akiwa
ndani ya gari anaimba na kucheza windo wa msanii Ommy Dimpoz....Ndagushima. Hayupo pekeyake yupo na mfanya kazi wake PETIMANI WAKUACHE!!! Jionee mwenyewe!!!
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment