Saturday, June 7, 2014

AMBASIA MALIY NDIYE ASHINDA MISS TABATA 2014.

Mshindi wa taji la Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy (katikati) akipozi na mshindi wa pili Ramta Mkadara (kushoto) na wa tatu Faudhia Feka (kulia).

Washindi walioingia Top 3 wakati wakisubiri atangazwe mshindi.

Miss Tabata 2013 ambaye amemaliza muda wake.

Mshindi wa taji la Miss Tabata 2014, ni Ambasia Maliy huku mshindi wa pili akiwa ni Ramta Mkadara na wa tatu ni Faudhia Feka

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top