Tuesday, March 11, 2014

Vazi hili linamvuto sana ukilivaa ukiwa na mumeo chumbani.

Kuna aia ya mavazi ambayo yanastaili kuvaliwa sehemu fulani ili kulingana na hali ya mazingira ya eneo husika.
Leo tunawashauri akinadada muwapo chumbani hasa maeneo ya joto kuvaa vazi la khanga kama inavyoonesha hapo.



Ila kwa wale munaishi sehemu za baridi kama Njombe na Makete msiige vazi hilo kwani mnaweza pata maradhi bora ujitupie nguo za joto.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top