Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.
Thursday, March 6, 2014
Browse » Home »
udaku
» Linah;kamwe sifikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yangu.
Linah;kamwe sifikirii kuja kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yangu.
MWANADADA mwenye sauti tamu kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT),
Esterlina Sanga ‘Linah’ amesema katika maisha yake kamwe hafikirii kuja
kuolewa na mwanaume mfupi kwani siyo sampuli yake.
Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.
“Nisiongee uongo kusema eti sipendi kutoka kimapenzi na mwanaume
mfupi wakati nilishawahi kufanya hivyo na siwezi kujiapiza katika hilo,
ila kwenye swala la ndoa lazima nizingatie kigezo changu muhimu cha
kuolewa na mwanaume mrefu,” alisema Linah.
Akipiga stori na paparazi wetu juzikati, Linah alisema atakuwa si mkweli akitamka ana mwanaume mfupi kwani hata jamii itamcheka kwa kuwa hata Amini Mwinyimkuu aliyewahi kuwa mpenzi wake ni mfupi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment