Wednesday, March 12, 2014

Licha ya sare ya 1-1 Arsenal wametolewa kwa aggregate ya Bayern Munich 3-1 Arsenal.


Kutoka hapa Allianz Arena Mechi imeisha kwa Bayern Munich 3-1Arsenal.
Hivyo Bayern Munich wameitoa Arsenal.

Goli la Bayern Munich limefungwa na 54' Schweinsteiger;  huku la Arsenal likifungwa na 57'Podolski.

Leo mechi ilikuwa nzuri licha ya Robben kujiangusha katika dakika ya 92 ndani ya box na kupewa penati iliyopigwa na Muller lakini kipa wa Arsenal Fabianski aliitoa.
 
Vikosi:

Bayern Munich: Neuer; Lahm, Martinez, Dante, Alaba; Schweinsteiger; Robben, Thiago, Gotze, Ribery; Mandzukic
Arsenal: Fabianski; Sagna, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen; Arteta, Oxlade-Chamberlain; Cazorla, Ozil, Podolski; Giroud.

Usikose kutembelea blogu yetu kesho tutakupasha Live update kati ya FC Barcelona na Man City.

Habari zaidi tembelea Angazio soka
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top