Tuesday, March 11, 2014

Breaking News: Basi la HOOD la ARUSHA-MBEYA limepata ajali mbaya eneo la Same asubui hii.

Huyu ni moja ya maiti zilizopo katka ajali hiyo.
Basi la Kampuni ya Hood likiwa limepinduka na watu kuumiavibaya eneo la Same leo asubuhi


Taarifa zaidi tutakujulishe haraka iwezekanapo pindi zinapotujia.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top