Thursday, February 13, 2014

Yanga wazuiwa uwanja wa ndege kwa mda kukaguliwa wakihisiwa kuwa na madawa ya kulevya.

Leo Asubuhi Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba mzigo ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu na kusababisha safari yao kuchelewa kwa muda wa Nusu saa.


Habari Kamili kama walikutwa na Mdawa ama la itatolewa
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top