FT Arsenal 0-0 Man Utd
Katika mechi ya kwanza majira ya saa 22:45GMT Arsenal wakiwa nyumbani kwao walienda sare ya 0-0 na Man Utd.
FT Fulham 2-3 Liverpool
Katika Mechi nyingine Liverpool walinusurika kwenda sare ya 2-2 ambapo penati ya dakika ya 91 aliwapa hauheni na wakampa Gerald apige na kiifanya ishide 3-2 dhidi ya Fulham.
Wafungaji wa LIver walikuwa ni D. Sturridge (41), Philippe Coutinho (72), S. Gerrard (Pen 90+1) wakati wale wa Fulham ni K. Touré (OG 8), K. Richardson (63).
FT Newvastle 0-4 Tottenham
Mechi nyingine ya kusisimua jana ni ile ya Emmanuel Adebayor yaani Spurs walipoitupia Newcastle 4-0 uwanjani kwao.Wafungaji wa spurs walikuwa ni E. Adebayor (19, 82), Paulinho (53), N. Chadli (88).
Msimamo ni huu baada ya mechi za jana
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment