Wednesday, February 12, 2014

Kura za maoni za mwakilishi wa CHADEMA kalenga zampitisha Mwanasheria kumvaa Mgimwa.


Wajumbe  wa mkutano  mkuu wa kura za maoni jimbo la Kalenga  wametegua kitendawili  cha nani kati ya  makada 13 atakayevaana na CCM katika uchaguzi huo baada ya kumchagua kwa kura za kishindo mwanasheria Sinkala Mwenda kwa kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani  wake wa karibu Grace Tendega huku  Zuberi Mwachura  akiambulia   0 katika uchaguzi huo.
Matokeo  zaidi  hivi  punde



Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online