Wednesday, February 12, 2014

Hii kali; Nchini China kuna mashindano ya kupigana mabusu;Picha na stori full hii.

Unaambiwa siu hiyo ni ruksa kwa yeyote unayemkuta barabarani kumpiga busu .Sipati picha kama ingekuwa hapo bongo namna ambavyo vijana wangechangamkia fursa hii.

 

 



Ama kweli duniani kuna mambo na visa haviishi kila siku binadamu anabuni wazo jipya pengine wazo linaweza kuwa lakijinga ila likawa kivutio kwa wengi.. wazo hili ni hili la kuanda mashindano ya kupigana mabusu katika style ya kipee..ilianzia china ikaenda mpaka thailand wapenzi walioshinda walibusiana kwamuda wa masaa mawili na dakika  43.2 hours and 43 minutes 

shindano hili hufanyika kila mwaka katika sikukuu za wapendanao yani Valentine's Day

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online