Thursday, January 30, 2014

Kazi imeaanza: Naibu waziri wa fedha atembelea ofisi ndogo ya Hazina Njombe.

 
Naibu Katibu Mkuu CCM Bara,Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Njombe wakati alipotembelea Ofisi Mpya ya Hazina Ndogo Mkoa wa Njombe mapema leo Asubuhi ya Tar.30/01/2014

 
 
Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara Mh;Mwigulu Lameck Nchemba akibadilisha mawazo na Mkuu wa Wilaya wa Wanging'ombe Wakati wakitoka Kutembelea Ofisi Ndogo Mkoa wa Njombe.
Mh;Mwigulu Nchemba akioneshwa moja ya Chumba cha Mapokezi ya Wageni kwenye Ofisi za Hazina Ndogo.


Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top