Mangula (katikati) akiwa na
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kulia) pamoja na
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akizungumza na Nape (kulia) pamoja na Zambi kwenye chumba cha watu mashuhuri (VIP) alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Mbeya leo mchana, ttayari kwa maadhimidho hayo
Dk. Mary Mwanjelwa (kushoto)
akijadiliana jambo na Makmu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi, Dogo Idd
Mabrouk wakati wa mapokezi hayo
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment